- 48
- 4 978 885
Meg at Home - Swahili
Приєднався 4 лип 2016
Karibu Meg at Home
-Channel ya kufundisha na kuburudisha mambo mbalimbali ya nyumbani kuanzia Jikoni, Pesa, Afya, Elimu na Maisha kwa ujumla. SUBSCRIBE & ENJOY !!!!
-Channel ya kufundisha na kuburudisha mambo mbalimbali ya nyumbani kuanzia Jikoni, Pesa, Afya, Elimu na Maisha kwa ujumla. SUBSCRIBE & ENJOY !!!!
Відео
NDIZI ZA NYAMA- Machalari
Переглядів 2,9 тис.3 роки тому
Ndizi Mchemsho za Nyama ya kuku a.k.a Machalari. Yummy
Apple Sauce - Swahili
Переглядів 6623 роки тому
Apple Sauce- mchanganyiko wa matunda na ni nzuri kwa watoto Follow us on Social Media Instagram- @Meg_swahili meg_swahili Facebook Group:Meg at Home - Mapishi groups/947917029065380/?ref=share WhatsApp Group: Meg at Home - Mapishi chat.whatsapp.com/GaFJtk40ZniLsIsXyCCXdw
Chapati za Kumimina- Laini
Переглядів 2,1 тис.3 роки тому
Chapati laini za Kumimina MAHITAJI Unga wa Ngano - Kikombe 1 1/2 Maziwa Fresh - Kikombe 1 1/4 Mayai - 2 Siagi/Butter - Kijiko cha chakula 5 Sukari - kijiko cha Chakula 2 Chumvi - Kijiko cha Chai 1\2 Follow us on Social Media Instagram- @Meg_swahili meg_swahili Facebook Group:Meg at Home - Mapishi groups/947917029065380/?ref=share WhatsApp Group: Meg at Home - Mapishi ...
Diet Jikoni - BREAKFAST
Переглядів 12 тис.4 роки тому
Aina mbalimbali za vifungua kinywa kwa Ajili ya DIET WEEK NZIMA Follow us on Social Media Instagram- @Meg_swahili meg_swahili Facebook Group:Meg at Home - Mapishi groups/947917029065380/?ref=share WhatsApp Group: Meg at Home - Mapishi chat.whatsapp.com/GaFJtk40ZniLsIsXyCCXdw
DIET au MAZOEZI
Переглядів 1,4 тис.4 роки тому
Jibu lipo hapa unapokuwa njia panda Kati ya kufanya Diet au Mazoezi Follow us on Social Media Instagram- @Meg_swahili meg_swahili Facebook Group:Meg at Home - Mapishi groups/947917029065380/?ref=share WhatsApp Group: Meg at Home - Mapishi chat.whatsapp.com/GaFJtk40ZniLsIsXyCCXdw
KACHUMBARI ya Kupika - KUPAMBA Part 2
Переглядів 7 тис.4 роки тому
Jinsi ya kuaandaa Kachumbari/Salad ya Kupika na Kupamba Follow us on Social Media Instagram- @Meg_swahili meg_swahili Facebook Group:Meg at Home - Mapishi groups/947917029065380/?ref=share WhatsApp Group: Meg at Home - Mapishi chat.whatsapp.com/GaFJtk40ZniLsIsXyCCXdw
KACHUMBARI na KUPAMBA - Salad
Переглядів 3,4 тис.4 роки тому
Jinsi ya kupamba KACHUMBARI/Salad Follow us on Social Media Instagram- @Meg_swahili meg_swahili Facebook Group:Meg at Home - Mapishi groups/947917029065380/?ref=share WhatsApp Group: Meg at Home - Mapishi chat.whatsapp.com/GaFJtk40ZniLsIsXyCCXdw
Jinsi ya Kupika Pilau
Переглядів 56 тис.4 роки тому
Pishi la Pilau la ukweli Follow us on Social Media Instagram- @Meg_swahili meg_swahili Facebook Group:Meg at Home - Mapishi groups/947917029065380/?ref=share WhatsApp Group: Meg at Home - Mapishi chat.whatsapp.com/GaFJtk40ZniLsIsXyCCXdw
Tambi za Dengu BILA Kifaa
Переглядів 40 тис.4 роки тому
Jinsi ya kutengeneza Tambi za Dengu BILA kutumia kifaa chochote! Follow us on Social Media Instagram- @Meg_swahili meg_swahili Facebook Group:Meg at Home - Mapishi groups/947917029065380/?ref=share WhatsApp Group: Meg at Home - Mapishi chat.whatsapp.com/GaFJtk40ZniLsIsXyCCXdw
Tips 3 za Kupunguza UZITO - Afya
Переглядів 25 тис.4 роки тому
Tips za Kupunguza Uzito 1.Punguza Vyakula vya Mafuta 2.Zingatia Kiasi cha Msosi 3.Changamsha Mwili/fanya Mazoezi Mambo Muhimu ya kuzingatia ili Kupunguza Uzito Follow us on Social Media Instagram- @Meg_swahili meg_swahili Facebook Group:Meg at Home - Mapishi groups/947917029065380/?ref=share WhatsApp Group: Meg at Home - Mapishi chat.whatsapp.com/GaFJtk40ZniLsIsXyCCXdw
Rosti la Nyama - Ngombe
Переглядів 133 тис.5 років тому
Jinsi ya kupika Rosti la Nyama ya Ngombe Follow us on Social Media Instagram- @Meg_swahili meg_swahili Facebook Group:Meg at Home - Mapishi groups/947917029065380/?ref=share WhatsApp Group: Meg at Home - Mapishi chat.whatsapp.com/GaFJtk40ZniLsIsXyCCXdw
Mchicha wa Fasta Fasta - Kiswahili
Переглядів 17 тис.5 років тому
Jinsi ya kupika Mboga ya mchicha Follow us on Social Media Instagram- @Meg_swahili meg_swahili Facebook Group:Meg at Home - Mapishi groups/947917029065380/?ref=share WhatsApp Group: Meg at Home - Mapishi chat.whatsapp.com/GaFJtk40ZniLsIsXyCCXdw
Tambi za Kukaanga na SUKARI
Переглядів 5 тис.5 років тому
Tambi za Kukaanga na SUKARI Follow us on Social Media Instagram- @Meg_swahili meg_swahili Facebook Group:Meg at Home - Mapishi groups/947917029065380/?ref=share WhatsApp Group: Meg at Home - Mapishi chat.whatsapp.com/GaFJtk40ZniLsIsXyCCXdw
Mishikaki ya Nyama
Переглядів 3,9 тис.5 років тому
Jinsi ya kutengeneza Mishikaki ya Nyama Follow us on Social Media Instagram- @Meg_swahili meg_swahili Facebook Group:Meg at Home - Mapishi groups/947917029065380/?ref=share WhatsApp Group: Meg at Home - Mapishi chat.whatsapp.com/GaFJtk40ZniLsIsXyCCXdw
Mboga ya Biringanya na Bamia - Swahili
Переглядів 93 тис.7 років тому
Mboga ya Biringanya na Bamia - Swahili
Jinsi ya Kupika Tambi Nyembamba - Kiswahili
Переглядів 176 тис.7 років тому
Jinsi ya Kupika Tambi Nyembamba - Kiswahili
❤❤❤❤
Waoo nimeipenda sana❤❤
Hongera sana
Nimekuelewa sana mdogo wangu. Hakika upo vizuri sana. Endelea kuleta mambo ya maanjumati ❤❤❤😊
nmeipenda saaaaa
Unga wa mchele nipendekezo la mtu so lazima
Kwapixh I'll dada xio poa😅
Asante saana
Good
❤Tamu
Nime lielewa hlo lost
Uko vizur mwaya
Me nomba rost la ndizi kuku na njegere dada
Hello
Unajua wengine wakifundusha wanaficha ficha pish Lao lkn huyu dada anaelekeza lkn pia unaon anachokifanya mwanz mwisho kama wengin mmeon kama mm gong like
Nimependa sana
Safikabis dd
Hongera sana unajua kufundisha vzr
Waaoh,ndizi tamu sana
❤
Izo nindiz gan
Zitakua tamusana
Thank you so much ❤
Hi kuku unakula na nn aki
Asante sana kwa breakfast. Tueleze mchana na jioni, namna ya lunch na dinner
Mapis 4:26 hiyndizunyama
Yeah chapati ninzur sana👍👍👍
Tumekumiss dada Meg 🤩🤩
❤❤❤ nimekubali pishi hili
Niunge group
Dada mbon kitunguu ni kibichi?
Asante nimeelewa ss joy nip dodoma
Nakupnd buree
Mchan je na jion?
Jifundishe Kiswahili jwanza. Usituharibie lugha yetu.
Asante dr💖💖💖
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mchana msosi unakuwaje na usiku?
Nice food
Yaani acha kabisa, tumbo na nyama zinakera kwa kweli
Kweli wajinyonge
Safi sana
Maji yanayotumika n vuguvugu au?
Umetisha sanaaaa❤❤❤
Nimepanda Mungu aiweke😋😋😋😋❤️
Yummy❤
Nikitumia yai moja na maziwa kikombe kimoja maziwa fresh
Mashalla
Naomba kuuliza karoti ni lazm ukatekate au hata kukwaruza
Ahsante san mmay